forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
570 B
Markdown
20 lines
570 B
Markdown
# Hizi ni sehemu ambazo wazao wa Aruni walipangiwa kuishi, wazao wa Aruni ambao walitoka katika koo za Wakohathi (maeneo ya kwanza yalikuwa yao)
|
|
|
|
"Haya ndiyo maeno ambayo uzao wa Aruni, koo za Wakohathi, waliishi (kura zilpigwa kujua wapi wataishi)"
|
|
|
|
# Wakohathi
|
|
|
|
Ona jinsi ulivyo tafsiri 6:33
|
|
|
|
# Walipewa Hebron
|
|
|
|
"Waliwapatia Hebroni kuwa yao"
|
|
|
|
# lakini maeneo ya mji na vijiji alipewa Kalebu mwana wa Yefune
|
|
|
|
"Kalebu na familia yake walienda kuishi kwenye mashamba ya Hebroni na vijiji vizungukavyo"
|
|
|
|
# nchi ya malisho
|
|
|
|
Hii ni sehemu ya nyasi ambapo wanyama wanakula.
|