sw_tn/1ch/05/20.md

21 lines
345 B
Markdown

# Waisraeli walipaza sauti kwa Mungu
"Waisraeli walimuomba Mungu kwa sauti kwa ajili ya Msaada"
# Walikamata
"Waisraeli walikamata Wahagri"
# ngamia elfu hamsini
"ngamia 50,000"
# punda elfu mbili
"punda 2,000"
# Kwa sababu Mungu aliwapigania
Msaada wa Mungu waelezwa kama mwanajeshi aliye pigana vitani. "Kwasababu Mungu aliwasaidia"