sw_tn/2ki/20/12.md

315 B

Merodaki Baladani ... Baladani

Haya ni majina ya mfalme wa Babeli na wana wake.

zisikilize hizo barua

(1) "kwa umakini fikiria hizo barua" au 2) "sikia ujumbe kutoka kwa mfalme wa Babeli"

Hapakuwa na kitu ... ambacho Hezekia hakuwaonyesha

"Hakuna" na "hapana" kushauriana kila mmoja kufanya wazo chanya.