sw_tn/2co/01/23.md

16 lines
537 B
Markdown

# Ninamwita Mungu kubeba ushahidi kwa ajili yangu
Maneno haya "kubeba ushahidi" yana rejea kwa mtu anayesema ambacho wameona au kusikia ili kwamba kutuliza hoja. "Namuuliza Mungu kuonyesha kile ninachosema ni kweli"
# Ili kwamba niwahifadhi ninyi
"Ili kwamba nisije kuwafanya kuteseka zaidi"
# Tunatenda kazi paoja nanyi kwa ajili ya furaha yenu"
"Tunatenda kazi paoja nanyi ilikwamba muwe na furaha"
# Simameni katika imani
Neno "Simameni" linaweza kumaanisha kitu ambacho hakiwei kubadilika. "iweni thabiti katika imani yenu"