forked from WA-Catalog/sw_tn
36 lines
1.2 KiB
Markdown
36 lines
1.2 KiB
Markdown
# Sentensi unganishi
|
|
|
|
Hapa Yesu anaanza kutoa maelekezo kwa wanafunzi wake juu ya jinsi wanavyopaswa kufanya na wategemee nini wakienda kuhubiri.
|
|
|
|
# Maelezo kwa ujumla
|
|
|
|
Ijapokuwa mstari wa tano unaanza kwa kusema kuwa alaiwatuma thenashara, Yesualiwapa maelekezo haya kabla ya kuwatuma.
|
|
|
|
# Hawa kumi na wawili Yesu aliwatuma
|
|
|
|
"Yesu aliwatuma hawa wanaume kumi na wawili" au "Walikuwa ni hawa wanaume kumi na wawili ambao Yesu aliwatuma"
|
|
|
|
# aliwatuma
|
|
|
|
Yesu aliwatuma kwa kusudi maalumu.
|
|
|
|
# Naye akawaelekeza wao
|
|
|
|
"Naye aliwaambia kitu gani walipaswa kutenda" au "aliwaamuru wao"
|
|
|
|
# Kondoo aliyepotea wa nyumba ya Israel
|
|
|
|
Hiki ni kirai kinacholinganisha taifa zima la israel na kondoo ambao wamejitenga kutoka kwa mchungaji
|
|
|
|
# nyumba ya Israel
|
|
|
|
Haya maelezo yana maanisha taifa la Israel. "watu wa Israel" au "kizazi cha Israel"
|
|
|
|
# Mnapokwenda
|
|
|
|
Kiwakilishi "mna" ni cha wingi na kinamaanisha mitume kumi na wawili.
|
|
|
|
# Ufalme wa mbinguni umekaribia
|
|
|
|
Hiki kirai cha "ufalme wa mbinguni", kinapatikana katika injili ya Mathayo tu. Kinamaanisha Mungu ni mfalalme. kama inawezekana tumia neno "mbinguni" katikatafsiri zako. "Mungu wetu wa mbinguni atajidhihirisha mapema kuw a yeyeni mfalme. Tazama ilivyotafsiriwa katika 3:1
|