sw_tn/ezk/21/24.md

20 lines
527 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa watu wa Yerusalemu.
# Kwa sababu umeuleta uovu wako kwenye kumbukumbu zangu
"Kwa sababu umenikumbusha uovu wako"
# uovu wako kwenye kumbukumbu zangu, makosa yenu yatafunuliwa! Dhambi zenu zitaonekana katika matendo yenu yote
"kwa kuufunua uovu wako, dhambi zako zitaonyeshwa wazi kwa kila mtu."
# Kwa sababu hii utamkumbusha kila mtu kwamba
"Kwa sababu hii kila mtu ataelewa kwamba"
# utatekwa kwa mkono wa adui zako
"mfalme wa Babeli atakuteka."