sw_tn/ezk/21/12.md

12 lines
339 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe kwa watu wa Yerusalemu na nchi ya Israeli.
# Wametolewa dhidi ya upanga pamoja na watu wangu
"Wameuawa kwa upanga pembeni ya watu wangu"
# lakini itakuwaje kama fimbo ya kifalme haitakuwepo tena?
"na itakuwa hofu kubwa sana kama upanga utaiharibu fimbo na fimbo ikaenda."