sw_tn/psa/123/003.md

32 lines
739 B
Markdown

# Uwe na huruma kwetu
Nomino dhahania ya "huruma" inaweza kuelezwa kama kitendo. "kutendea kwa huruma"
# tumeshiba ... Tumeshiba zaidi
Misemo hii miwili inamaana ya kufanana, wa pili unaongeza ukali wa ile wa kwanza.
# tumeshiba aibu
Hapa aibu inazungumziwa kana kwamba ni kitu kinachoweza kumjaa mtu. "tumefedheheka sana"
# Tumeshiba zaidi
Lahaja hii inamaanisha idadi imezidi kwa ubaya. "tumepata kingi sana"
# kejeli ... na dharau
Misemo hii miwili inamaana ya kufanana na inatumika pamoja kusisitiza jinsi gani walivyo dhihakiwa na watu.
# kejeli
kudhihaki au kutukana
# jeuri
Hii inaashiria watu wenye jeuri. "watu wasio na adabu na wenye kiburi"
# wenye kiburi
Hii inaashiria watu wenye kiburi. "watu walio na kiburi"