sw_tn/ezr/04/03.md

332 B

Yoshua

Jina la mtu. Tafsiri kama katika 2:3

Sio wewe, lakini sisindio lazima tujenge

Maana yake inaweza kuwa 1)viongozi wa kiyahudi walifikiri kwamba Koreshi aliwaamuru wao peke yao kujenga hekalu au 2) ujenzi wa hekalu ilikuwa ni kazi iliyowatenga wayahudi na wasio wayahudi ndio watakaoruhusiwa kuchanga kwa ajili ya kazi.