sw_tn/exo/04/24.md

20 lines
461 B
Markdown

# Yahweh alikutana na Musa na akajaribu kumuua
Hii yaweza kuwa kwasababu Musa hakumtairi mwanae.
# Zipora
Hili ni jina la mke wa Musa
# kisu cha jiwe
Hichi kilikuwa kisu kliicho undwa kwa jiwe.
# kwenye miguu yake
Ina wezekana kuwa neno "miguu" hapa limetumika kama namna ya heshima ya kutaja sehemu zake za siri za mwili.
# wewe ni bwana arusi kwangu kwa damu
Maana ya umbo hili sio wazi. Yaweza kuwa ulikuwa msemo unao fahamika kwenye utamaduni wao.