sw_tn/act/14/intro.md

24 lines
830 B
Markdown

# Matendo 14 Maelezo kwa jumla
## Dhana Maalum katika sura hii
### "Ujumbe wa neema yake"
Ujumbe wa Yesu ni ujumbe wa Mungu ambao huwapa neema wanaomuamini Yesu. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/grace]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/believe]])
### Zeu na Herme
Watu wa mataifa katika himaya ya Warumi waliabudu miungu wengi ambao hawakuwepo. Paulo na Barnaba waliaambia kuamini katika "Mungu aliye hai" Yahwe. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/falsegod]])
## Maswala mengine tata kwenye tafsiri ya sura hii.
### "Lazima tuingie kwenye ufalme wa Mungu kupitia mateso mengi"
Yesu aliwaambia wafuasi wake kabla hajafa kwamba kila anayemfuata angepata mateso. Paulo anayarudia maneno hayo kupitia maneno tofauti na hayo.
## Links:
* __[Acts 14:1](../../act/14/01.md)__
__[<<](../13/intro.md) | [>>](../15/intro.md)__