sw_tn/2ti/04/intro.md

20 lines
419 B
Markdown

# 2 Timotheo 04 Maelezo kwa jumla
## Muundo na mpangilio
### "Napeana amri hii ya dhati"
Paulo anapeana mashauri ya kibinafsi kwa Timotheo
## Dhana Muhimu katika Sura hii
### Taji
Maandiko matakatifu yanatumia aina nyingi ya mataji kama mfano wa vitu vingi. Inaonekana Kristo atawatuza waumini wake kama taji la kuishi maisha mazuri
## Links:
* __[2 Timothy 04:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../03/intro.md) | __