sw_tn/2ti/03/intro.md

547 B

2 Timotheo 03 Maelezo kwa jumla

Muundo na Mpangilio

"Siku za mwisho" inaweza kuwa na maana ya hapo mbeleni kabla ya Kristo kurudi. Kwa hivyo Paulo anatabiri katika mistari 1-9 na 13 kuhusu siku hizo. "Siku za mwisho" pia inaeza maanisha kipindi cha Ukristo (pamoja na wakati wa Paulo).Kwa hivyo anayofundisha Paulo kuhusu mateso yanahusu Wakristo wote. (Tazama: [[rc:///tw/dict/bible/kt/prophet]] and [[rc:///tw/dict/bible/kt/lastday]])

<< | >>