sw_tn/2ti/01/intro.md

21 lines
732 B
Markdown

# 2 Timotheo 01 Maelezo kwa jumla
## Dhana muhimu katika sura hii
### Watoto wa kiroho
Paulo alimfundisha Timotheo kuwa Mkristo na kiongozi wa kanisa. Kuna uwezekano kwamba Paulo pia alimuongoza kumwamini Kristo. Kwa maana hiyo Paulo anamwita Timotheo (Mwanangu mpendwa" (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/disciple]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/spirit]]))
## Maswala mengine ya utata katika kutafsiri sura hii
### Mateso makali
Paulo alikuwa gerezani wakati akiandika barua hii. Paulo anamhimiza Timotheo kuwa tayari kuteseka kwa sababu ya injili. (Tazama: [[rc://*/ta/man/translate/figs-explicit]])
## Links:
* __[2 Timothy 01:01 Notes](./01.md)__
* __[2 Timothy intro](../front/intro.md)__
__| [>>](../02/intro.md)__