forked from WA-Catalog/sw_tn
8 lines
305 B
Markdown
8 lines
305 B
Markdown
# Akafunga mlango nyuma yake
|
|
|
|
Hii inamaanisha kufunga mlango ili kwamba asiweze kuingia tena.
|
|
|
|
# akaweka majivu kichwani pake na kuchana vazi lake. Akaweka mikono yake kichwani pake
|
|
|
|
Haya ni matendo ya kuomboleza au kuhuzunika katika utamaduni wa Kiisraeli. Hii ilionesha kwamba alikuwa na huzuni sana.
|