forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
953 B
Markdown
32 lines
953 B
Markdown
# Hebu watu wa jinsi hiyo wafahamu
|
|
|
|
"nawataka watu kama hao kufahamu"
|
|
|
|
# kile tusemacho kwa waraka wetu wakati tukiwa mbali ni sawasawa na vile tutakavyotenda wakati tukiwa pale
|
|
|
|
"kilie tulichokikandika katika barua yetu tulipokuwa mbali nanyi"ni sawasawa na vile tutakavyotenda wakati tukiwa pamoja nanyi"
|
|
|
|
# tukiwa mbali, ni sawasawa na vile tutakavyotenda wakati tukiwa pale
|
|
|
|
"tutatenda hivyo wakati tukakapokuwapo pale pamoja nanyi tulichokiandika katika barua yetu tulipokuwa mbali nanyi"
|
|
|
|
# sisi..yetu
|
|
|
|
Sentensi zote za maneno haya yanarejea kwenye timu ya huduma ya Paulo na siyo Wakorintho.
|
|
|
|
# kujikusanya wenyewe au kujilinganisha
|
|
|
|
"kusema tuko vizuri kama"
|
|
|
|
# wanapojipima wenyewe na kujilinganisha na kila mmoja wao
|
|
|
|
Paulo anasema vitu vingi mara mbili.
|
|
|
|
# wanapojipima wenyewe na kila mmoja wao
|
|
|
|
Paulo anazungumzia wema kuwa kama kilikuwa kitu ambacho urefu wake watu wangeupima.
|
|
|
|
# hawana akili
|
|
|
|
"huonyesha kila mtu wasichokifahamu"
|