forked from WA-Catalog/sw_tn
753 B
753 B
2 Wakorintho 09 Maelezo ya Jumla
Muundo na upangiliaji
Baadhi ya tafsiri huweka kila mstari wa mashairi upande wa kulia zaidi kuliko maandiko yote ili iwe rahisi kusoma. ULB inafanya hivi kwa mstari wa 9, ambayo umechukuliwa kutoka Agano la Kale.
Mifano muhimu ya matamshi katika sura hii
Mifano
Paulo anatumia mifano mitatu ya kilimo. Anazitumia kufundisha kuhusu kutoa kwa waumini maskini. Mifano humsaidia Paulo kueleza kwamba Mungu atawapa thawabu wale wanaotoa kwa ukarimu. Paulo hakusema ni lini au vipi Mungu atakavyowapa tuzo hilo. (See: [[rc:///ta/man/translate/figs-metaphor]] and [[rc:///tw/dict/bible/other/reward]])