sw_tn/1ti/04/intro.md

18 lines
406 B
Markdown

# 1 Timotheo 04 Maelezo kwa jumla
## Muundo na mpangilio
1 Timotheo 4:1-3 ni unabii Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/prophet]])
## Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii
### Siku za baadaye
Hii ni njia nyingine ya kuashiria siku za mwisho( Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/lastday]])
## Links:
* __[1 Timothy 04:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../03/intro.md) | [>>](../05/intro.md)__