forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
420 B
Markdown
16 lines
420 B
Markdown
# Ndugu
|
|
|
|
hapa "ndugu" inamaanisha mkristo mwenzako
|
|
|
|
# Tunawatia moyo na kuwasihi
|
|
|
|
Neno "sisi" linawaelezea Paulo, Silvanus na Timothy lakini sio waamini wa Thesalonike. Neno "kutia moyo" na "kusihi" inamaana moja. Paulo aliyatumia ili kusisitiza ni kwa jinsi gani wanawatia moyo waamini.
|
|
|
|
# Mlipokea maelekezo toka
|
|
|
|
"mlifundishwa na"
|
|
|
|
# Lazima mtembee
|
|
|
|
Hapa neno "kutembea" inaelezea namna ambavyo mtu anatakiwa kuishi.
|