forked from WA-Catalog/sw_tn
428 B
428 B
1 Wathesalonike 03 Maelezo kwa ujumla
Dhana muhimu katika sura hii
Kusimama
Katika sura hii Paulo anatumia "simama imara" kuonyesha kuwa imara. Hii ni njia ya kawaida ya kuelezea kuwa imara ama mwaminifu. Paulo anatumia "Kutingizwa" kama kinyume cha kuwa imara. Tazama: rc://*/tw/dict/bible/kt/faithful)