sw_tn/1th/01/intro.md

19 lines
539 B
Markdown

# 1 Wathesalonike 01 Maelezo kwa jumla
## Muundo na mpangilio
Mstari wa kwanza unatanguliza barua hii kirasmi. Barua za kale katika Mashariki ya Karibu yalikuwa na utangulizi wa aina hii.
## Dhana maalum katika sura hii
### Ugumu
Watu wengine waliwatesa sana Wakristo wa Thesalonike. Lakini Wakristo hao waliyachukulia mateso hayo kwa njia nzuri. (Tazama: [[rc://*/ta/man/translate/figs-explicit]])
## Links:
* __[1 Thessalonians 01:01 Notes](./01.md)__
* __[1 Thessalonians intro](../front/intro.md)__
__| [>>](../02/intro.md)__