sw_tn/1sa/19/18.md

419 B

Taarifa za jumla

Daudi anamkimbia Samweli.

Sasa

Neno hili linatumika hapa kuonyesha kwamba mwandishi ameanza kuongea sehemu mpya ya hadithi.

Nae Sauli akaambiwa

Hii inaweza kuelezwa katika fomu harisi. AT "Mtu alimwambia Sauli"

Tazama

"Angalia" au "Sikiliza" au "Jihadharini na kile ninachokuambia"

akisimama kama kiongozi wao

Hapa "kichwa" inahusu nafasi ya mamlaka. AT "akifanya kama kiongozi wao"