forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
709 B
Markdown
24 lines
709 B
Markdown
# Sentensi Uganishi
|
|
|
|
Paulo anawafahamisha kuwa Mungu ametoa karama maalumu kwa waumini. Karama hizi ni kwa ajili ya kuusaidia mwili wa waumini.
|
|
|
|
# Sitaki mkose kufahamu
|
|
|
|
"Ninataka mfahamu"
|
|
|
|
# mlipotoshwa kufuata sanamu zisizoongea
|
|
|
|
ikielezwa kwa muundo tendaji: "mliamini uongo na mlibudu sanamu zisizoongea"
|
|
|
|
# kwa njia zozote mliongozwa nazo
|
|
|
|
ikielezwa kwa muundo tendaji:" na ziliwaongoza kwa namna nyingi"
|
|
|
|
# hakuna yeyote anenaye kwa Roho wa Mungu awezaye kusema
|
|
|
|
maana zinazowezekana ni 1) "hakuna Mkristo ambaye ana Roho wa Mungu ndani yake, awezaye kusema," au 2) "hakuna atoaye unabii kwa nguvu ya Roho wa Mungu awezaye kusema."
|
|
|
|
# Yesu amelaaniwa.
|
|
|
|
" Mungu atamwadhibu Yesu" au Mungu atamtesa Yesu"
|