# karibu
"karibu na eneo walilo kuwepo"
# watu watabadili nia zao ... na ... watarudi Misri
Tangu Waisraeli waliishi utumwani maisha yao yote, walizoea amani zaidi ya vita na radhi wa rudi utumwani kuliko kupigana.