sw_tn/1ch/06/33.md

20 lines
351 B
Markdown

# Hawa
"Hawa walikuwa wana muziki"
# Wakohathi
Hili ni jina la kundi la watu
# kurudi nyuma ya wakati
Hii ina maana orodha inaenda kutokana na wa hivi karibuni na wa zamani.
# Hemani ... Yerohamu ... Elieli ... Toa ... Zufi ... Mahathi
Haya ni majina ya wanaume.
# Elikana ... Amasai
Ona jinsi ulivyo tafsiri haya majina ya hawa wanaume 6:25