sw_tn/psa/059/008.md

20 lines
646 B
Markdown

# wachekee
"wachekee kwa dharau" au "wadhihaka." Mungu aliwachekea kwa sababu walikuwa hawafai na dhaifu.
# unashilia mataifa yote katika dhihaka
"unafanyia mzaha mataifa yote" au "unajua kuwa watu wa mataifa ni wapumbavu"
# dhihaka
"fanyia mzaha" au "kejeli"
# nguvu yangu
Mungu kuwa nguvu ya mwandishi wa zaburi inawakilisha Mungu kumlinda. "wewe ni nguvu yangu" au "wewe ni mlinzi wangu"
# wewe ni mnara wangu wa juu
Mnara wa juu ni sehemu ambapo watu wanaweza kwenda kwa ajili ya kivuli kutoka kwa adui zao. Mwandishi wa zaburi anamzungumzia Mungu kumlinda kana kwamba Mungu ni kivuli imara na salama. "unanilinda kama mnara wa juu"