forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
805 B
Markdown
20 lines
805 B
Markdown
# Siku nzima
|
|
|
|
"wakati wote"
|
|
|
|
# wanapindisha maneno yangu
|
|
|
|
Kurudia kile ambacho mtu amesema lakini kubadilisha kidogo ili imaanishe kitu tofauti inazungumziwa kama kupindisha maneno yao. "wanasema kuwa nimesema vitu ambavyo sijasema" au "wanadai kuwa nimesema vitu, lakini wanadanganya"
|
|
|
|
# mawazo yao yote yako dhidi yangu kwa uovu
|
|
|
|
"daima huwa wanan mawazo maovu dhidi yangu" au "daima huwa wanawaza mambo maovu ya kunifanyia"
|
|
|
|
# wanaangalia hatua zangu
|
|
|
|
Kuangalia kile ambacho mtu anafnya ili kuona jinsi ya kumsababishia shida inazungumziwa kama kuangalia hatua zake, kama mtu anavyotaka kumkamata mtu anavyoangalia mtu anapotembea. "wanaangalia kila kitu nachofnaya"
|
|
|
|
# kama tu walivyo subiri kwa ajili ya maisha yangu
|
|
|
|
Kusubiri kumua mtu inazungumziwa kama kusubiri maisha yake. "wanaposubiri kuniua"
|