sw_tn/psa/054/006.md

12 lines
418 B
Markdown

# Nitatoa shukrani kwa jina lako, Yahwe, kwa kuwa ni zuri
Jina la Yahwe linamwakilisha yeye. "Nitatoa shukrani kwako, Yahwe, kwa kuwa u mwema"
# jicho langu limetazama
Jicho linamaanisha mtu. "Nimetazama"
# jicho langu limetazama kwa ushindi juu ya adui zangu
Maana zinazowezekana ni 1) kuona kuwa adui zake wameshindwa. "Nimeona kuwa adui zangu wameshindwa" au 2) kuwashinda adui zake. "Nimewashinda adui zangu"