sw_tn/psa/051/014.md

12 lines
531 B
Markdown

# kumwaga damu
Msemo huu unamaanisha kumua mtu mwingine.
# Bwana, fungua midomo yangu, na mdomo wangu utaeleza sifa yako
Kuwa na uwezo wa kuongea inazungumziwa kama midomo kuwa wazi. Hapa kutoweza kuongea ni ishara ya kuwa na hatia ya dhambi na kutoweza kujitetea. "Bwana, nifanye niweze kuongea, na nitakusifu"
# hupendezwi na sadaka ... hauna furaha na sadaka za kuteketeza
Hii inamaanisha kwamba Mungu anataka kitu cha muhimu zaidi ya hivi vitu. "Sadaka haitoshi kukupendeza ... unataka kitu zaidi ya sadaka za kuteketeza"