sw_tn/psa/051/003.md

8 lines
287 B
Markdown

# dhambi yangu daima iko mbele yangu
Kutoweza kusahau dhambi zake inazungumziwa kana kwamba zilikuwa mbele yake wakati wote ambapo anaweza kuziona. "huwa nina ufahamu wa dhambi zangu" au "siwezi kusahua dhambi zangu"
# na kufanya kilicho kiovu mbele yako
"na nimefanya kilicho kiovu"