sw_tn/psa/048/004.md

28 lines
829 B
Markdown

# tazama
Neno "tazama" hapa linataka tuwe macho na kuzingatia taarifa ya kushangaza inayofuata.
# wamejikusanya
Hii inamaanisha kwamba wafalme wa mataifa walikusanya majeshi yao. "walikusanya majeshi yao"
# wakapita pamoja
"kwa pamoja walipita Yerusalemu"
# Wakaona
"Wakaona Yerusalemu"
# hawakufadhaika
"taabika sana"
# Kutetemeka kuliwashika
Mwandishi anazungumzia hofu ya wafalme kana kwamba ni mtu aliyesababisha wafalme na majeshi yao kutetemeka. "Huko walitetemeka kwa hofu"
# maumivu kama ya mwanamke mwenye uchungu wa kuzaa
Mwandishi anazungumzia hofu ya wafalme kana kwamba ni maumivu ambayo mwanamke hupitia wakati wa kuzaa na kuzungumzia maumivu haya kana kwamba ni mtu. "maumivu yaliwashika, kama mwanamke aliye katika uchungu wa kuzaa" au "wakaogopa, kama mwanamke anavyoogopa kupitia maumivu ya kuzaa"