"kizazi baada ya kizazi" ni nahau inayomaanisha kwa kila kizazi kinachoishi baada ya kingine. "wazao wenu wa kizazi kijacho wwaweze kujifunza" au "wazao wenu wote waweze kujifunza daima"