sw_tn/lev/23/30.md

895 B

Maelezo ya Kuunganisha

Yahweh anaendelea kumwambia mMusa yawapasayowatun kutenda.

katika siku hiyo

"katika siku ya upatanisho"

Hii itakuwa amri ya kudumu katika vizazi vyote vya watu wenu

Tazama katika sura ya 3:15

Sabato ya pumziko makini

Hii haikuwa Sabato ile ambayo waliishika kila juma katika siku ya saba. Hii ilikuwa ni sabato maalum katika siku ya upatanisho.

yapasa mjinyenyekeze

katika jambo hili, kujinyeyekeza wenyewe kulimaanisha kwamba wasingeku

  • la chakula chochote. Hii yweza kutmkwa wazi. : "Yapasa kujinyenyekeza wenyewe na msile kitu cho chote.

siku ya tisa ya mwezi

hii humaanisha mwezi wa saba katika kalenda ya Kiebrania. Siku ya tisa ni karibu na mwishoni mwa mwezi wa Septemba katika kalenda ya Magharibi. Hii yaweza kufanywa wazi. : "siku ya tisa ya mwezi wa saba"

Tangu jioni hata jioni

"Tangu machweo mpaka machweo kwenye siku inayofuata"