forked from WA-Catalog/sw_tn
595 B
595 B
Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anaendelea kumbia Musa yawapasayo watu kutenda
iliyotengenezwa kutokana na mbili ya kumi ya efa. Ni lazima ifanywe kwa unga laini na uliochanganywa na hamira
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. ; "uliyoitengenza kutokana na mbili ya kumi ya efa ya unga na ulioumliwa kwa hamira"
mbili ya kumi ya efa.
Takribani lita 4.5. : "lita nne na nusu"
na kutoa harufu nzuri ya kupendeza kwa Yahweh
Furaha ya Mungu kwa manukato huwakilisha fura furaha yake kwa watu wanaoteketeza matoleo hayo. : "naye Yahweh atapendezwa nanyi" au "impendezayo Yahweh"