sw_tn/jos/01/16.md

16 lines
480 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Waisraeli hawa walikuwa ni Warubeni, Wagadi, na nusu ya kabila la Manase ambao walimjibu Yoshua.
# Yeyote anayeasi maagizo yako na kutotii maneno yako
Virai hivi vya manane kimsingi vina maana moja tu na pia vinatia mkazo kuwa aina yoyote ya uasi itaadhibiwa.
# atauawa
Hii inaweza kuelezwa kwa kauli tendaji: ''Tutamwua''
# Uwe hodari na jasiri tu
Mungu pamoja na Waisraeli walizingatia mambo yote kuwa ya muhimu kwa Yoshua kuendelea kama kiongozi wao.