Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye.
Na vile vito vitakuwa sawasawa
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
mfano wa kamba, ya kazi ya kusokotwa, ya dhahabu safi
"mikufu iliyo fanywa kwa dhahabu safi na imesokotwa kama kamba"