sw_tn/zec/10/08.md

9 lines
288 B
Markdown

# Nitawanong'oneza
kunong'oneza ni kutoa sauti ya juu, nyembamba kupitia midomo iliyominywa. Kwa kawaida hutolea kuwapa wengine ishara,
# mpaka kutakapokuwa hakuna nafasi tena kwa ajili yao
Watu wataendelea kwenda Yuda na itajazwa watu hata kusiwe na nafasi ya watu kuishi pale tena.