sw_tn/zec/09/03.md

21 lines
464 B
Markdown

# amejijengea ngome
Hapa mji wa Tiro umepewa picha kama ya mwanamke.
# kurundika fedha kama mavumbi na dhahabu safi kama matope mitaani
"kukusanywa kwa dhahabu na fedha nyingi mitaana kama mchanga "
# Tazama! Bwana atamnyang'anya
"Iweni tayari! Bwana atachukua miliki za Tiro"
# na kuharibu nguvu zake juu ya bahari
"na kuharibu meli za Tiro ambazo watu wanazitumia kupigana juu ya bahani"
# hivyo ataharibiwa na moto
"na kuuteketeza mji hata mavumbini"