# Tazama, Boazi
Neno "tazama" lina ashiria tukio muhimu Boazi akija shambani
# akatoka Bethilehemu
Mashamba yalikuwa ya yajatajwa umbali na Bethilehemu
# kukubariki
"kukupa vitu vizuri"