sw_tn/rom/14/20.md

9 lines
289 B
Markdown

# Si jambo jema kula nyama, wala kunywa divai, wala chochote ambacho ndugu yako anaona ni vibaya
"Ni afadhali usile nyama au kunywa divai au chochote ambacho kinawaza kumsababisha mwenzako afanye dhambi"
# Yako
Hii inamaanisha imani thabiti na "Ndugu" inamaanisha ndugu aliye dhaifu.