forked from WA-Catalog/sw_tn
25 lines
889 B
Markdown
25 lines
889 B
Markdown
# Kwa kuzingati kifo kwamba alikufa kwa dhambi, alikufa mara moja kwa yote.
|
|
|
|
Kifungu cha maneno "mara moja kwa yote" ina maanisha kumaliza kitu kabisa. Maana nzima ya hii inaweza kufanywa wazi. "Kwa maana alipokufa aliivunja nguvu ya dhambi kabisa.
|
|
|
|
# Kwa njia hiyo, ninyi pia mnapaswa kufikiri
|
|
|
|
"Kwa sababu hii fikirini"
|
|
|
|
# jihesabuni wenyewe
|
|
|
|
"fikirini wenyewe kama" au "kujiona wenywe kama"
|
|
|
|
# kufa kwa dhambi
|
|
|
|
Hapa "dhambi" urejea kwa nguvu inayoishi ndani yetu na kutufanya sisi kutenda dhambi. "kufa kwa nguvu ya dhambi"
|
|
|
|
# kufa kwa dhambi kwa upande mmoja, lakini kwa upande mwingine, kuwa hai kwa Mungu
|
|
|
|
Kikundi cha maneno "kwa upande mmoja" na "kwa upande mwingine" utanguliza njia mbili tofauti za kufikiri kuhusiana na kitu. "kufa kwa kifo lakini pia kuwa hai kwa Mungu."
|
|
|
|
# kuwa hai kwa Mungu katika Kristo Yesu
|
|
|
|
"kuishi kwa kumtii Mungu kwa nguvu ya Kristo Yesu anayokupa"
|
|
|