sw_tn/rom/04/06.md

9 lines
448 B
Markdown

# David pia anatoa baraka juu ya mtu ambaye Mungu amemhesabia haki bila matendo
"Vile vile, Daudi aliandika kuhusu jinsi Mungu huwambariki mtu ambaye Mungu humfanya kuwa haki bila matendo"
# maovu ambao ni kusamehewa ... ambao dhambi zao zimefunikwa ... yule ambaye Bwana si kuhesabu dhambi
Dhana hiyo imeelezwa kwa njia tatu tofauti. AT "ambao uovu Bwana alivyowasamehe ... ambao dhambi Bwana amezifunika ... ambao dhambi Bwana hatazihesabu."