forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
814 B
Markdown
21 lines
814 B
Markdown
# Kinywani mwake hutoka upanga mkali
|
|
|
|
Ubapa wa upanga ulikuaunchomoza kinywani mwake. Upanga wenyewe haukua ukisogea.
|
|
|
|
# huyaangamiza mataifa
|
|
|
|
"huyapiga mataifa" au "anayamudu mataifa"
|
|
|
|
# atawatawala kwa fimbo ya chuma
|
|
|
|
Yohana anazungumzia nguvu ya mpandaji kama vile anatawala na fimbo ya chuma.
|
|
|
|
# Naye hukanyaga vyombo vya mvinyo kwa hasira kali ya Mungu
|
|
|
|
Yohana anazungumzia mpandaji kuangamiza adui zake kana kwamba ni zabibu ambazo mtu anakanyaga kwenye chombo cha mvinyo. Hapa "hasira" inamaanisha adhabu ya Mungu kwa watu waovu. "Atawakanyaga adui zake kulingana na hukumu ya Mungu, kama tu binadamu anavyokanyaga zabibu kwenye chombo cha mvinyo"
|
|
|
|
# Naye ameandikwa juu ya vazi lake na katika paja lake jina
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Mtu ameandika jina kwenye vazi lake na kwenye paji:"
|
|
|