forked from WA-Catalog/sw_tn
13 lines
385 B
Markdown
13 lines
385 B
Markdown
# Ndipo nilisikia sauti kama sauti ya kundi kubwa la watu, kama sauti ya ngurumo ya maji mengi, na kama ngurumo ya radi
|
|
|
|
Yohana anazungumzia anachokisia kama vile ilikuwa sauti iliyotengenezwa na umati mkubwa sana wa watu, maji mengi wanayotiririka kwa kasi, na ngurumo ya radi kubwa.
|
|
|
|
# Haleluya
|
|
|
|
Neno hili linamaana "Msifu Mungu" au "Tumsifu Mungu."
|
|
|
|
# Bwana ni
|
|
|
|
"Kwa sababu Bwana"
|
|
|