sw_tn/rev/12/05.md

9 lines
256 B
Markdown

# atayatawala mataifa yote kwa fimbo ya chuma
Kutawala kwa ukali kunazungumziwa kama kutawala kwa fimbo ya chuma. "Atawatawala kwa ukali kama vile anawapiga na fimbo ya chuma.
# Mtoto wake alinyakuliwa juu kwa Mungu
"Mungu alimchukua upesi mtoto wake"