sw_tn/rev/10/intro.md

29 lines
1.4 KiB
Markdown

# Ufunuo 10 Maelezo ya jumla
### Dhana muhimu katika sura hii
#### Ngurumo saba
Haieleweki wazi kilichomaanishwa na ngurumo saba. Inakubalika kwa mtafsiri kutoelewa maneno haya na kuyatafsiri kama "ngurumo saba." (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-personification]] na [[rc://en/ta/man/translate/writing-apocalypticwriting)
#### "Siri la Mungu"
Haieleweki maana ya haya maneno. Siyo siri ambayo Paulo anafafanua kwa maana ya kanisa. Labda inaashiria kitu kilichofichwa na hajulikani sasa, lakini kitakachofunuliwa kimefichika ama hakijulikani kitakachofunuliwa wakati huu. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/reveal)
### Mifano muhimu ya usemi katika sura hii
#### Mfano
Kuna Mifano nyingi zimetumika kuelezea malaika huyo mkubwa. Mifano inatumika kuelezea vitu ambavyo Yohana anaona kwa kuvilinganisha na vitu vya kawaida. Lakini, upinde wa mvua na mawingu vingeeleweka kama vitu vya kawaida sivyo mifano. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-simile)
### Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii
#### Vitabu vya msokoto
Kitabu cha msokoto kinachotajwa katika sura hii ni tofauti na vitabu vya msokoto vingine vilivyozungumziwa sana katika kitabu cha Ufunuo kufikia sasa. Kinaitwa "cha msokoto". Mtafsiri anatakikana kuhakikisha kwamba msomaji anafahamu kwamba kuna zaidi ya kitabu kimoja cha msokoto.
## Links:
* __[Revelation 10:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../09/intro.md) | [>>](../11/intro.md)__