sw_tn/psa/119/155.md

13 lines
323 B
Markdown

# Wokovu u mbali na waovu
mwandishi anazungumzia wokovu kana kwamba ni kitu chenye umbo. "Hakika hautawaokoa waovu"
# Matendo yako ya huruma ni mengi
"Umeonesha huruma kwa watu mara nyingi" au "Umefanya matendo mengi ya huruma"
# kama hufanyavyo
Maana nyingine inayowezekana ni "kwa sababu unafanya kilicho cha haki"