forked from WA-Catalog/sw_tn
13 lines
455 B
Markdown
13 lines
455 B
Markdown
# katika uwepo wake
|
|
|
|
"ambapo alipo"
|
|
|
|
# Uzuri na fahari ziko katika uwepo wako
|
|
|
|
Mwandishi anazungumza kana kwamba uzuri na fahari ni watu wanaoweza kusimama mbele ya mfalme. "Kila mtu anajua kuhusu uzuri wake na fahari"
|
|
|
|
# Nguvu na uzuri ziko katika mahali pake patakatifu
|
|
|
|
Maneno "nguvu" na "uzuri" ni njia nyingine ya kusema agano la sanduku la amri, ambayo ipo katika mahali patakatifu. "Ni mahali pake patakatifu ambapo kuna sanduku la agano la amri"
|
|
|