forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
1.3 KiB
Markdown
29 lines
1.3 KiB
Markdown
# Nilisema
|
|
|
|
Maana zinazowezekana ni 1) Mungu anazungumza au 2) Asafu anazungumza
|
|
|
|
# Msiwe na kiburi ...Msiinue ... Msiinue ... msizungumze
|
|
|
|
Anaye zungumza anazungumza na watu wengi waovu.
|
|
|
|
# na kwa waovu
|
|
|
|
"na nikasema kwa waovu"
|
|
|
|
# Msiinue juu pembe
|
|
|
|
Asafu anazungumzia watu waovu kana kwamba ni wanyama wenye pembe vichwani mwao, wanonyosha shingo zao na kuweka vichwa vyao juu kutisha wanyama wengine. "Msiwe wajasiri" au "Msijivune jinsi mlivyo na nguvu"
|
|
|
|
# Msiinue pembe yenu juu
|
|
|
|
Asafu anazungumzia watu waovu kana kwamba ni wanyama wenye pembe vichwani mwao, wanonyosha shingo zao na kuweka vichwa vyao juu kutisha wanyama wengine. "Kuweni waangalifu sana kutokuwa na majivuno kuwa mko bora zaidi ya Mungu"
|
|
|
|
# na shingo yenye jeuri
|
|
|
|
Asafu anazungumzia watu waovu wanaomkaidi au kupingana na Mungu kana kwamba ni wanyama wenye pembe vichwani mwao, wanonyosha shingo zao na kuweka vichwa vyao juu kutisha wanyama wengine. "kwa kiburi"
|
|
|
|
# Sio mashariki ... kuinuka kunakotokea
|
|
|
|
Asafu anamzungumzia yule anayeinua kana kwamba ndio tendo la kuinua. Anazungumzia pia Mungu kumpa nguvu na heshima mtu kana kwamba Mungu alikuwa akimnyanyua mtu kimwili. "Yule ambaye atakuinua hatakuwa mtu atokaye mashariki" au "Yule ambaye atakufanya kuwa na nguvu na kuwafanya watu wakuheshimu hatakuwa mtu anayetoka mashariki"
|
|
|