forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
705 B
Markdown
21 lines
705 B
Markdown
# Taarifa ya Jumla:
|
|
|
|
Asafu anaendelea kueleza ambavyo wakati mwingine anataka kulalamika kwa Mungu kuhusu wale ambao wana "kiburi" na "waovu"
|
|
|
|
# watu wake wanawageukia
|
|
|
|
Maana zinazowezekana ni 1) "Watu wa Mungu wanawapenda watu waovu" au "watu waovu wanarudi sehemu hii"
|
|
|
|
# maji mengi yanatolewa
|
|
|
|
Maana zinazowezekana ni 1) "Watu wa Mungu wanasikiliza kwa furaha maneno ya watu waovu" au 2) "watu waovu wana chakula cha kutosha kula na divai ya kunywa"
|
|
|
|
# Wanasema
|
|
|
|
watu waovu wanasema
|
|
|
|
# Mungu anajuaje? Kuna ufahamu kwa Aliye juu?
|
|
|
|
Maswali haya yenye balagha yanaonesha dharau kwa Mungu. Maswali haya yanaweza kutafsiriwa kama kauli. "Hakika Mungu hajui tunalolifanya. Aliye juu hana ufahamu wa hili."
|
|
|